Labda hii itatufundisha kufanya maamuzi kwa uangalifu. Maana tunapiga kura .....as if maamuzi yetu hayana implication on our future. Lesson should be learnt here.
Mwanakijiji would say...... watumwa wanatamani kurudi Misri! Mzee... sometimes ni wachache wenye moyo wa kuvuka bahari ya shamu kwenda nchi ya ahadi. Ni safari ngumu ati!
maisha yamekuwa magumu sio kwa watumishi peke yake, bali kwa watu mtaani. ni kwasababu ameondoa marupurupu ambayo mtu akipata hela anaenda kuspend mtaani kwenye akina mangi madukani huko, sasaivi hata wafanyabiashara wanapata shida wateja hawana hela.
Tatizo kubwa la tanzania ni ubireshwaji wa kipato na huduma za jamii. Akipaweza japo hizo hela za dili ni ziada sana. Ss tatizo la ss hv bila za dili mtu wa kima cha chini anapata hela ya wiki tu kama mshahara. Huwez mpa mtu 170000 ukategemea aish mwez mzima tarehe zikutane
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.