Habari zenu.
Mimi ni mtumishi wa serikali Kwa miaka 17 sasa. Kwa muda wote niliofanya kazi nimegundua mengi sana maofisini.
Ifauatayo ni orodha ya namna walevi wanavyolindana maofisini:
1. Bosi mlevi hupendelea wafanyakazi wenzie walevi katika vifursa. (Sensa walevi wengi waliweka walevi wenzao)
2. Ukifanya kosa wewe usiekunywa linakuwa kubwa. Akifanya mlevi ni dogo na halitafanyiwa kazi(Mlevi mmoja aliishi na mwanafunzi kingono na bado alipewa uongozi).
3. Semina nyingi bosi mlevi atawapendelea kwanza walevi wenzie.
4. Mengine ni ukabila udini na kujuana.
Ongezea,