Utafiti wa uhakika

50cent

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
292
Reaction score
230
Wanawake walioolewa wengi husumbuliwa sana na ujauzito pale unapokuwa mchanga,mfano kuanzia mwezi mmoja hadi minne.

Sababu ya tatizo hilo ni shahawa zinazoingia nje ya mfuko wa uzazi baada ya mimba kutunga.

Kuepuka mgogoro huo ukishagundua kuwa una ujauzito, tumia kinga wakati wa sex.

Uthibitisho kama unabisha, jiulize ni kwa nini binti aliyepo nyumbani anapigwa mimba na anagundulika mimba imeshakuwa kubwa? na wengine hadi siku ya kujifungua? Jaribu ushauri huu

NB: Mimi ni ME and I'm not a doctor, huu ni utafiti wangu na nipo tayari kukosolewa
 
Utafiti wako ntauthibitisha nikibeba ujauzito kwa mara ya kwanza bado sijabeba mimba
 
Ngoja nika gugu ili nijue kama kuna ukweli
 
mmmmhhhhh mimi sikuumwa umwa kwa kweli zaidi ya genye tu ndio zilizonisumbua loo
 
Utafiti huu sio wa kweli hata kidogo. Wewe utakuwa umewafanyia utafiti watu wasiozidi 10. Nijuavyo mimi, sababu kubwa ya wanawaje wajawazito kuumwa wakati ujauzito u-mchanga ni mabadiliko ya homon mwilini. Wengine mabadiliko yale huwasababishia kuugua na wengine huwa hawaathiriki na mabadiliko hayo. Hicho unachozungumzia hakina effect yoyote kwa hiyo si sababu ya kuumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…