Kwa taaluma yangu ya afya nilionayo sijawai sikia ayo madin....ebu yataje kwa majina ayo madiniKwa Mwanaume yoyote ambaye atakuwa anapendelea kuvaa nguo ya ndani ( chupi ) ya mpenzi wake au mkewe mara kwa mara atakuwa na uwezo mkubwa sana wa kufanya ngono kwakuwa wanasema kuwa hata iweje chupi ya Mwanamke hata ikifuliwa na sabuni gani na iwe safi vipi lakini bado huacha madini fulani pale chupini ambayo endapo Mwanaume ataivaa basi huamsha hisia zake za kimapenzi na kujikuta akifanya mapenzi sana na kumridhisha Mwanamke yoyote atakayekutana nae.
ILA
Kwa Mwanamke ambaye atakuwa anapendelea mno kuvaa nguo ya ndani ( chupi ) kabisa ya Mwanaume wake au mpenzi wake basi atakuwa na uwezo mkubwa sana wa kubeba ujauzito kwakuwa joto kali lipatikanalo katika mapumbu ya Wanaume huzalisha mno hormones zinazoweza kuyashutua mayai ya uzazi.
Kazi kwenu!
Tumlaumu yeye mwenyewe kwa kukosa ata akili kidogo ya kufikiria anachokiandikaSijui tumlaumu nani kwa elimu za namna hii
Haya mambo ya kila mtu kuibuka na uzushi na kujifanya ni sayansi ndo yanayofanya watu watapeliwe hovyo hapa mjini. Yaani shida ni kwamba kuna hawa wanaoamini na kuanza kusambazaTumlaumu yeye mwenyewe kwa kukosa ata akili kidogo ya kufikiria anachokiandika
Ukisikia uchizi ndio huu 😀😀Kwa Mwanaume yoyote ambaye atakuwa anapendelea kuvaa nguo ya ndani ( chupi ) ya mpenzi wake au mkewe mara kwa mara atakuwa na uwezo mkubwa sana wa kufanya ngono kwakuwa wanasema kuwa hata iweje chupi ya Mwanamke hata ikifuliwa na sabuni gani na iwe safi vipi lakini bado huacha madini fulani pale chupini ambayo endapo Mwanaume ataivaa basi huamsha hisia zake za kimapenzi na kujikuta akifanya mapenzi sana na kumridhisha Mwanamke yoyote atakayekutana nae.
ILA
Kwa Mwanamke ambaye atakuwa anapendelea mno kuvaa nguo ya ndani ( chupi ) kabisa ya Mwanaume wake au mpenzi wake basi atakuwa na uwezo mkubwa sana wa kubeba ujauzito kwakuwa joto kali lipatikanalo katika mapumbu ya Wanaume huzalisha mno hormones zinazoweza kuyashutua mayai ya uzazi.
Kazi kwenu!
Wengine hata wakiota ndoto husema humu jf wamefanya utafiti.Kwa taaluma yangu ya afya nilionayo sijawai sikia ayo madin....ebu yataje kwa majina ayo madini
Halafu sio kila mtu anaweza kufanya research
Hmm hii sayansi naona ni mpya hapa mjini, tutavaa hiyo chupi lakini tatizo litakua size, maana wife hiyo mi wowowo.Kwa Mwanaume yoyote ambaye atakuwa anapendelea kuvaa nguo ya ndani ( chupi ) ya mpenzi wake au mkewe mara kwa mara atakuwa na uwezo mkubwa sana wa kufanya ngono kwakuwa wanasema kuwa hata iweje chupi ya Mwanamke hata ikifuliwa na sabuni gani na iwe safi vipi lakini bado huacha madini fulani pale chupini ambayo endapo Mwanaume ataivaa basi huamsha hisia zake za kimapenzi na kujikuta akifanya mapenzi sana na kumridhisha Mwanamke yoyote atakayekutana nae.
ILA
Kwa Mwanamke ambaye atakuwa anapendelea mno kuvaa nguo ya ndani ( chupi ) kabisa ya Mwanaume wake au mpenzi wake basi atakuwa na uwezo mkubwa sana wa kubeba ujauzito kwakuwa joto kali lipatikanalo katika mapumbu ya Wanaume huzalisha mno hormones zinazoweza kuyashutua mayai ya uzazi.
Kazi kwenu!
Yani kwa alichokiandika unaweza pata ata wasiwasi na elimu yakena mvae tu tena bikini kabsaaa maana kushadadia mambo kumewazidi, tunavyojua kwenye korodani kuna barid ili kuregualate temperature. na ndio maana zikawekwa njee ya mwili, Leo mnatudanganya kuna joto! shame upon you
Hahahaha eti uraniumDah...Tanzania yangu
huyu utafiti wake ni wa kwenye vijiwe huyuYani kwa alichokiandika unaweza pata ata wasiwasi na elimu yake
Ha ha ha ha ha ha haaaaa! That's hilariousKila mtu aliyepitia uxi uu anapinga tuu kuhusu utafit uu,ebu ngoja wajuz wapitie APA wanaweza kusema kitu chanya kuhusu utafit uu.