Wakuu!
Nimekuwa na tabia mbaya sijui, natongoza sana wake za watu. Halafu wala siwatafuni.
Endelea kujifariji kwa simulizi ziitwazo maandiko.Mbona malipo ni hapa hapa chini ya jua
Hata siku moja dhambi haijawahi kumuacha MTU salama
Kumbuka kisa cha mfalme Daudi na mke wa Uria, nini kilichomtokea
Gonga wake za watu kwa namba yoyote ile lazima wa kwako amegwe tu hamna namna
Hizi ndoa hizi nyingi ni za hovyo tu, utadhani walioana ili wakadhamini mkopo!Hiyo kitu iko same kwa waume za watu
Waume za watu hawajatulia hata kidogo,sijui hivyo viapo ama maamuzi ya kuoa huwa mnashikiwa bunduki kuyafanya?tena sasa mnaona ni haki yenu kabisa kuwa na mpango kando
ImeandikwaHiyo kitu iko same kwa waume za watu
Waume za watu hawajatulia hata kidogo,sijui hivyo viapo ama maamuzi ya kuoa huwa mnashikiwa bunduki kuyafanya?tena sasa mnaona ni haki yenu kabisa kuwa na mpango kando
Hizi ndoa hizi nyingi ni za hovyo tu, utadhani walioana ili wakadhamini mkopo!
Usichokijua hata haya maisha tunayoishi pia ni simuliziEndelea kujifariji kwa simulizi ziitwazo maandiko.
π π π π dah sio poa, wake za watu nawaogopa kama ukomaMmoja yupo Kibamba kaniahidi mzigo Jmosi, nasubiri hadi amuage mumewe ndo nimwambie nimeghairi.