UTAFITI: Tanzania Bingwa kwa unafiki dunianii

Ni kweli sisi ni wanafiki namba moja duniani,kuanzia waongozwa mpaka waongozaji Mara tujifanye tuko na mmarekani Mara mchina ndio rafiki yetu wa karibu Mara tujibane Kwa mwingereza,leo hii mvietnam ndio amekuwa the best sasa yaani hatuna msimamo kabisa hao jamaa hawajatuonea wamesema ukweli
 
P zao na za dada zao nani kawambia tuanhitaji hizi tafiti uchuro ss tunahangaika kufanya kazi maisha yasonge mbele kwanza yametuibia sana leo yanaleta tafiti mfu hizi zinatusaidia nn ss
 
Ni kweli sisi ni wanafiki namba moja duniani,kuanzia waongozwa mpaka waongozaji Mara tujifanye tuko na mmarekani Mara mchina ndio rafiki yetu wa karibu Mara tujibane Kwa mwingereza,leo hii mvietnam ndio amekuwa the best sasa yaani hatuna msimamo kabisa hao jamaa hawajatuonea wamesema ukweli
Duh! yaani kama wale mademu wa kiwanja , mwenye bia nyingi ndio huyohuyo wake .
 
Ni kweli watz ni wanafiki mno. Kwenye uzi huu tu kuna unafiki wa ajabu, watu wanatoa mfano wa wapinzani na Lowassa wakati huohuo wanaacha kukamilisha mfano wao huo kwa kuweka wazi kikwete alisemaje juu ya Lowassa wakati na baada ya wapinzani walipomtuhumu?! Kama Lowassa ni tatizo lawama zote zinatakiwa kwenda kwa watawala, wanaapa na wana nyenzo zote za kuwawezesha kulinda maslahi ya taifa hili. Kwa nini hawakutimiza wajibu wao? Leo hii hata hawa wanaodai kuwa wapinzani ndio tatizo kwa kumpokea Lowassa, wengi wao hawasemi chochote kumhusu chenge! Sasa itokee 'mazingaombwe' chenge atoke ccm.... Utaona jamii hii ilivyo ya kinafiki.
Mimi huwa nasema ukitaka kuona jamii hii ilivyooza, watu wanahudhuria kwenye nyumba za ibada kwa wingi kuanzia Ijumaa, Jumamosi na Jumapili... Sasa jumatatu kuanzia asubuhi angalia tabia zao kwenye mabarabara na mitaa ya Dar...ni tabia za watu waovu tupu! Nenda kwenye hospitali za umma, mashuleni, kwenye vituo vya polisi, mahakamani n.k. Hupati mcha Mungu hata mmoja! Kwa nini?!
 
Kama sio chadema kumugeuza lowasa waliyemuita fisadi adi tarehe 26, na 27 kumugeuza malaika na kufuta list ya majizi kwenye web yao ya chama waliyoitangaza mwembeyanga
Tusingeitwa wanafiki,
 
Nungana na waliofanya utafiti! inaonekana waanzilishi wa Taifa hili walikuwa wanafiki! hivyo basi. wameturithisha hii zambi ya unafiki! angalia hata wasomi wetu. namaanisha maprof huwa wanatakiwa kuandika maandiko yao. lakini unashangaa prof anachukua andiko la mtu mwingine analibadirisha kidogo kisha anajipatia ujiko. Watumishi wa Mungu ndio usiseme! badala ya kuwakosoa wasio haki. wao wamekuwa wakiwanadi wasio haki! nazani ifike muda tufanye maombi ya kitaifa kwa ajili ya kutubu dhambi ya unafiki na uongo. Tunapaswa kuliona hili kwa ajili ya watoto wetu! 2 Nyakati 7:14. Watanzania tu wanafiki!
 
Ni kweli mara nyingi Watanzania hukubaliana na mambo mengi ukiwemo udanganyifu ili mradi tu kuonyesha kwamba ni waungwana hata kama ukweli unapuuzwa
 
Kikwete alikuwa so friendly na nchi za magharibi
list hizi nyingi hatukutajwa sana
naona labda Magufuli sababu hayuko friendly now wanatuchapa kiaina...

ingawa ukweli na sisi kwa unafiki tuko vizuri
huu ni utafiti unahusu awamu ya Nne na kiongozi wake unamjua! Kuwa friendly haimaanishi mtu siyo mnafiki actually watu wanafiki are so friendly!
 
Huo utafifi uko sawa kabisa. Ukitaka kupata validity ya hiyo research then rudi nyuma kabla na wakati wa uchaguzi wa mwaka 2015.Kabla ya uchaguzi mkuu 2015,CHADEMA tulitumia miaka 8 kuishambulia CCM na hasa Lowassa na genge lake kuwa ni vinara wa ufisadi nchini.Humu kwenye mitandao ya kijamii stori zilikuwa ni kuhusu Lowassa na ufisadi wake,ikafikia wakati tukawa tunaomba CCM waingiwe na upofu wamteue Lowassa kuwa mgombea wao ili tumchape mapema asubuhi tu kwa maelezo kwamba kampeni dhidi ya Lowassa ingekuwa nyepesi mno kwasababu habari zake za ufisadi zinajulikana nchi nzima.Magazeti ya Said Kubenea nayo kama vile MwanaHALISI hayakubaki nyuma ktk kuuchambua ufisadi wa Waziri mkuu wa zamani,yakadai ushaidi upo unaonyesha uhusika wa Lowassa ktk kashfa ya Richmond. Ndugu yangu Godbless Lema yeye akaenda mbali kwa kusema utapata baraka kubwa kutoka kwa mwenyezi Mungu endapo utamuita Lowassa fisadi.Leo imekuwaje tena? Tuliyekuwa tukimuita fisadi leo tunamwona malaika,tumekula matapishi yetu wenyewe. Huu sasa ndio unafiki, a pure hypocrisy!
Unaina ee yaani huu ndio mfano halisi!
 
Utafiti uliofanywa na vijana wa Chuo Kikuu cha Nottingham Uingereza umebaini kuwa watanzania ndo watu wanafiki zaidi duniani..

========

The British and Dutch are the most honest in the world, while people in Tanzania are the least - and it's all down to how corrupt their politicians are

Dr Gächter told MailOnline: 'Even in the high corruption countries people are surprisingly honest in the sense that only a minority lie blatantly, although the incentive in the experiment are to lie maximally by claiming the highest amount possible irrespective of the die rolled.

'This behaviour is consistent with psychological theories of honesty that people care about honesty but sometimes stretch the truth a bit in a way to maintain an honest self-image and to benefit materially.

Corruption corrupts: People are less honest in countries with fraud
Uingereza wenyewe wanafiki ktk utatuzi wa migogoro duniani. Hata mleta mada hapa ni mnafiki.
 
Mimi najua watanzania tu wanafiki sana tena sana. Ila sijui kama tunashika nafasi ya kwanza duniani.
 
Back
Top Bottom