Utafiti: kutumia mitandao ya kijamii Kati ya 7 hadi 11 husababisha msongo wa mawazo/depression

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
5,497
Uchambuzi uliofanywa katika bandiko la computers and human behavior umeeleza na kuchambua kinagaubaga.

Madhara mengine ni upungufu wa Uwezo kiakili, kulinganisha na wanapotumia mitandao ya kijamii miwili, zaidi kwa wanapotumia miwili tena kwa ratiba maalum na zaidi.

Mfano kwa Tanzania
Facebook, Twitter, Instagram, WhatsApp, Telegram, YouTube, JamiiForums, Google plus, LinkedIn, Badoo/twoo/tagged/eskimi, Blogs, Snapchat na mingine nyiingi zote mtu mmoja anatumia.

JF APP.PNG

=========

Using lots of social media accounts linked to anxiety

phone_thumbs_1600-1400x400.jpg


New research links the number of social media platforms a person uses with risk of depression and anxiety.

The analysis, published in the journal Computers in Human Behavior, shows that people who report using seven to 11 social media platforms had more than three times the risk of depression and anxiety than their peers who use zero to two platforms, even after adjusting for the total time spent on social media overall.

“This association is strong enough that clinicians could consider asking their patients with depression and anxiety about multiple platform use and counseling them that this use may be related to their symptoms,” says lead author and physician Brian A. Primack, director of the University of Pittsburgh Center for Research on Media, Technology and Health and assistant vice chancellor for health and society in Schools of the Health Sciences.

“While we can’t tell from this study whether depressed and anxious people seek out multiple platforms or whether something about using multiple platforms can lead to depression and anxiety, in either case the results are potentially valuable.”


Source: Using lots of social media accounts linked to anxiety - Futurity
 

Attachments

  • JF APP.PNG
    JF APP.PNG
    93.2 KB · Views: 32
Natumia yote aliyoiandika hapo juu ila sina msongo,muda mwingi ninapokuwa kazini nakuwa mwenyewe hivyo natembelea mitandao yote ila JF na IG ndo balaa.
 
Natumia yote aliyoiandika hapo juu ila sina msongo,muda mwingi ninapokuwa kazini nakuwa mwenyewe hivyo natembelea mitandao yote ila JF na IG ndo balaa.
Attention residue na will power depletion.
Tafuta kitabu kanaitwa deep work utaelewa hiyo research bado inatuhitaji kufanya social media platform censorship na kubaki na vichache vya maana
 
Back
Top Bottom