Utafiti kuhusu majibu ya Tume iliyoundwa dhidi ya Mkuu wa Mkoa mh Paul Makonda

ikindo

Senior Member
Nov 29, 2011
132
110
Nimesikiliza kwa makiini uwasilishwaji wa maoni ya tume iliyoundwa na Mh. Waziri wa utamaduni na michezo Ndg Nape Nawie kuhusu kinachosemekana ni uvamizi kwenye televisheni ya clouds , lakini katika uwasilihsaji huo nimeshindwa kuelewa mambo yafuatayo ili niweze kuamini kuwa hakukua kituo hicho ama watyangazaji wa kipindi cha shilawadu ama wamiliki walikua kweli wanafuata kanuni na taratibu za uaandishi wa habari, kama zinavyopaswa ama huenda kunakitu kingine ambacho sisi watafati wa masuala kama haya wamekataa kuyaweka bayana kwa sababu wanazozijua wao.

1.Tume imetuambia kuwa kipindi kilichokusudiwa kurushwa kilikua kimeaandaliwa na wafanyakazi wa clouds kwa utashi wao, HAPA swali ni JE Muheshimiwa mkuu wa mkuo mpiganaji Paul Makonda (kibiko cha wauza unga na wazembe wasiopenda kufanya kazi) alijuaje kuwa kuna kipindi kama hicho kilikua kinaandaliwa na kilipaswa kuruka siku hiyo ikiwa mkuu huyo wa mkua alikua hausiki kwa namna yoyote ile na story hiyo wala alikua hahitajiki kwa namna yoyote ile ili kubalance story hiyo?.

2.Na je tukisema kwamba kutokana na kituo hicho ama watangazaji wake kukiuka maadili na kutengeneza story za kupika kuwachafua watu ndiko kulikosababisha mkuu wa mkoa mpiganaji na ambaye ni kamati ya ulinzi na usalama na ambaye hupokea taarifa nyingi za kiintelijensia kuamua kuingia studio ili kuizima story hiyo ambayo ilikua na lengo ovu la kumchafua mchungaji mkuu wa kanisa la Uzima na ufufu na hasa ikizingatiwa kuwa anaheshimika zaidi na waumini wake?.

3.Kwani tume haijua kuwa mkuu wa mkoa hutembea na walinzi kwa usalama wake kama askofu alivyenda kituo cha clouds na walizi wake?

4.Swali la mwisho ni je zile namba za gari la mchungaji ni za nchi gani?
Naomba kuwasilisha.
 
Hayo yote ni mazuri na yanawezekana, lakini ili kumaliza songombingo hizi zote ni kwa nini asionyeshe vyeti!?
 
5. Mbona na RC kakiuka maadili kwa kutumia jina na cheti cha mtu mwingine, mwambie aache maneno aweke vyeti.
6.Vipi na wewe umefunga msambwanda kama mkuu wako? manake isijekuwa mnazo ajenda zenu mnatupotezea muda tu hapa
 
Makonda aliwapa hints,wao wakamuoji yule dada. Wakanza kumtafuta Gwajima ili wabalance story Makonda ndio akawalazimisha.
Na wao wakagoma ndio wakavamiwa.
Wale vijana walitaka kubalance story ili ukweli ujulikane.
 
Nimesikiliza kwa makiini uwasilishwaji wa maoni ya tume iliyoundwa na Mh. Waziri wa utamaduni na michezo Ndg Nape Nawie kuhusu kinachosemekana ni uvamizi kwenye televisheni ya clouds , lakini katika uwasilihsaji huo nimeshindwa kuelewa mambo yafuatayo ili niweze kuamini kuwa hakukua kituo hicho ama watyangazaji wa kipindi cha shilawadu ama wamiliki walikua kweli wanafuata kanuni na taratibu za uaandishi wa habari, kama zinavyopaswa ama huenda kunakitu kingine ambacho sisi watafati wa masuala kama haya wamekataa kuyaweka bayana kwa sababu wanazozijua wao.

1.Tume imetuambia kuwa kipindi kilichokusudiwa kurushwa kilikua kimeaandaliwa na wafanyakazi wa clouds kwa utashi wao, HAPA swali ni JE Muheshimiwa mkuu wa mkuo mpiganaji Paul Makonda (kibiko cha wauza unga na wazembe wasiopenda kufanya kazi) alijuaje kuwa kuna kipindi kama hicho kilikua kinaandaliwa na kilipaswa kuruka siku hiyo ikiwa mkuu huyo wa mkua alikua hausiki kwa namna yoyote ile na story hiyo wala alikua hahitajiki kwa namna yoyote ile ili kubalance story hiyo?.

2.Na je tukisema kwamba kutokana na kituo hicho ama watangazaji wake kukiuka maadili na kutengeneza story za kupika kuwachafua watu ndiko kulikosababisha mkuu wa mkoa mpiganaji na ambaye ni kamati ya ulinzi na usalama na ambaye hupokea taarifa nyingi za kiintelijensia kuamua kuingia studio ili kuizima story hiyo ambayo ilikua na lengo ovu la kumchafua mchungaji mkuu wa kanisa la Uzima na ufufu na hasa ikizingatiwa kuwa anaheshimika zaidi na waumini wake?.

3.Kwani tume haijua kuwa mkuu wa mkoa hutembea na walinzi kwa usalama wake kama askofu alivyenda kituo cha clouds na walizi wake?

4.Swali la mwisho ni je zile namba za gari la mchungaji ni za nchi

hawa watu wanajuana
 
We kijana mpumbavu tumia akili yako vyema kama hujaandika kitu fanya tafiti kidogo ,nenda youtube angalia clip ya clouds ya j3 asubuhi
 
Wewe inaonekana una cheti cha kuzaliwa na cha formfour peke yake pumbaaaaaaavu nenda kasome kwanza ndipo ulete mada humu jf
 
Kibiko cha wauza unga
Kwanza unamwandiko mbaya itakuwa ni wale wale kutoka kuleeee
 
hizo pumba zk hazieleweki tunataka vyetiii watu wamefukuzwakazin kisa vyeti ila makonda bado yupo why
 
Wewe inaonekana una cheti cha kuzaliwa na cha formfour peke yake pumbaaaaaaavu nenda kasome kwanza ndipo ulete mada humu jf
vyeti vya nini sasa kwani vyeti ndio vinafanya kazi, acha kukariri vitu jibu maswali ya msingi kwanza mtetezi wa wauza unga mkubwa.
 
Back
Top Bottom