Kuna siku nilikutana na mdada mmoja kwenye daladala linalotoka Posta kwenda Mwenge na hakuwa amevaa kufuli,huyu mdada alikaa siti ya nyuma ya dereva huku mimi nikiwa mbele kabisa pembeni mwa dereva na alikuwa amevaa sketi fupi kiasi cha kuonesha maungo yake ya ndani,yaani pachupachu ilikuwa inaonekana wazi,hamad ile kugeuka macho yakakutana na ile kitu watu huhonga magari na hata kuacha familia zao kuipata ila Mungu alisaidia sikupitisha sekunde nyingi kuangalia.
Inawezekana kabisa wadada wengi hawavai kufuli siku hizi.