Utafiti binafsi


mwl mbona unamaliza nguvu kubsha kwa jambo ambalo hata mjinga anajua jibu lake? mwanaume kucheat ni tabia na hiyo wala haitunyimi usingizi siye makungwi kwani tunatamiza wajibu wetu ipasavyo yeye atajijua. mume kutoka nje hakunifanyi nikashindwa kutimiza wajibu kama mama ndani juu ya watoto na familia yangu, na wala sitokaa nijichokee eti kwasababu mume anatoka nje hapo ndipo pa kujipa raha ile mbaya hadi mwenyewe aumie tena FYI wanawake ambao wanajiamin sana pale waume zao wanapotoka nje wana chance kubwa ya kuwin mapenzi o kuliko wale wasio jiamin ambao hishia kulia kila siku na kukaa vikao. hawa ni waku wapuuza ile mbaya unamfanya mtu kama hayupo vile.

ukiona mwanamke anaumia sana kwa mumewe kutoka nje ni tegemezi sna kwa mume ila wale walioko independent nakwambia yaani huwa wanachukulia kamangom ya kitoto tu.
 

Mwalimu na nyie sexual desire iko juu kama sisi??
Si wanasemaga mwanamke aweza kuvumilia muda mrefu kukaa bila kudo as compared to men?
Ina ukweli wowote hii theory???
 
SnowBall mbona jibu hapa i rahisi sana jibu ni mwanaume na sababua ni hormones zaake kwamba androgen kila siku inafanya kazi yake tofauti na female hormones ambazo grafu zake hupanda na kushuka.
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu na nyie sexual desire iko juu kama sisi??
Si wanasemaga mwanamke aweza kuvumilia muda mrefu kukaa bila kudo as compared to men?
Ina ukweli wowote hii theory???
ni kweli kabisa kwamba sexual desires ni pronounced aaaid kwa males na sababua nia hizo male hormones ambazo muda wote graph yake iko juu, ili hali females graph hushuka na kupanda kila siku. siku ambazo graph iko juu ni siku ambazo yuko kwenye heat na hapo ndipo anakuwa na hamu ya kufanya the rest huwa ni kawaida tu.

pia kuna active reproductive age kwa mwanamke ambapo anakuwa damua inachemka kweli na umri huu huanza toka anapovunja ungo hadi akikoma hedhi at age of 45 ama 50 but most af females at age of 35 sexual desires huwa ina diminish as actions of certain hormones plus some essential minerals zinapungua. umr huu ukifika utakuta mama hana hamu ya kivile kama alivyokuwa binti na hapa huwa inaendelea hadi afkie menopouse ambapo sasa hamu huisha na hubaki kufanya kwa mazoea tu.
 

Kwahiyo umekubaliana na mimi kuwa infidelity is inevitable?

Unakubaliana nami pia kwakuwa infidelity is inevitable, kwahiyo inapotoea kucheat then tucheat responsibly?

Naomba kucheat na wewe.
 
Kwahiyo umekubaliana na mimi kuwa infidelity is inevitable?

Unakubaliana nami pia kwakuwa infidelity is inevitable, kwahiyo inapotoea kucheat then tucheat responsibly?

Naomba kucheat na wewe.

umemsoma mwenzio? nenda kwa yule bedui wetu kamsome vyema aliyopewa mtaliki wake ndipo utadeduce maomb yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…