UTAFITI BINAFSI: Watanzania wengi Hasa wa CCM Wanatamani Mhe. Lowassa Angekua Rais

Watanzania wazalendo wengi wanatamani hata uchaguzi uwe kesho wakamuweke tena John pombe Joseph magufuli.
 
Hata ikifanyika kura ya maoni Leo kuhusu utendaji kazi wa Bwana mkubwa, ninaamini majority hata kutoka ndani ya chama chake watasema watakuwa wanakerwa na mfumo wa huyo jamaa wa kujiona yeye ndiye EACH and EVERYTHING!
 
you are right Mkuu
 
Back
Top Bottom