Utafikiri ni mochwari... Kumbe.!?

Hivi wewe jamaa unayejiita mshana kazi yako ni kupost pornography tuu , huna habari nyingine?
 
Hapana sina lakini umejuaje kama ni porn?
Sio hii pekee mkuu nimeshaona post zako za picha sasa za pata 5 zote zimekaa kiporn porn . Punguza punguza mkuu usiwe addicted au unapopost ni busara ukaandika tahadhari ya umri kwani wanaotembelea jukwaa hili ni wa umri tofautitofauti
 
Ushauri mzuri sana Nina post 2400 na ushee kwenye hili jukwaa la picha na ulizoona wewe ni kama tano zilizokaa 'kipornporn' nitajitahidi kubadilika
 
Kumbe umejaa busara za kutosha asante kwa kunielewa na samahani kwa usumbufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…