Hapo anajenga mazingira ya wewe kuongeza upendo wala hata usiogope mwaya... mkaka wa watu anakupenda.
Naomba urudie kusoma vizuri nilichokiandika tafadhaliMbona wewe hauja mwacha mmeo kama na we hilo tatizo unalo!
Pole mwaya...............
mapenzi yanaumiza acha tu
Sasa bila mtu kuongea atasema vipi kwamba hamtaki ye asubili tu kuambiwa bwana
mzima wewe?
sikuoni oni unajua...mekumiss
actions speaks louder than words..there is nothing left for her
Mkuu we unamoyo, hajasema toka lakini matendo yanasemaje?
????????????????????///
Ukiona hivyo ujue kwa mkewe mambo yamenoga! Huyo alikuwa tu kupumzika kwako huenda kwa wife wake mambo yalikuwa si mambo! Jitaidi utafute mpenzi wako afu utaona kama atakuletea PozzzzzHabarini za mida hii wandugu.Mwanzoni mpnz wangu alikuwa ananijali,tunasaidiana ktk mambo mbalimbali,tunapeana ushauri,but inakuja kutokea kuwa mambo yamebadilika,mawasiliano yanapungua,hanipigii cm had nimpigie,nikimtumia sms hajibu inapita had siku nne kimya,ikatokea nna shda namwambia anakaa kimya hajibu,nikimuliza kama kuna tatizo anasema hakuna shida yoyote,yupo bize tuu.nashindwa kuelewa nifanyeje,na nini kimemsibu,naombeni ushauri wenu.
Babycute, huyu ni mpenzi wako wa luxury tu au una malengo nae?Habarini za mida hii wandugu.Mwanzoni mpnz wangu alikuwa ananijali,tunasaidiana ktk mambo mbalimbali,tunapeana ushauri,but inakuja kutokea kuwa mambo yamebadilika,mawasiliano yanapungua,hanipigii cm had nimpigie,nikimtumia sms hajibu inapita had siku nne kimya,ikatokea nna shda namwambia anakaa kimya hajibu,nikimuliza kama kuna tatizo anasema hakuna shida yoyote,yupo bize tuu.nashindwa kuelewa nifanyeje,na nini kimemsibu,naombeni ushauri wenu.