Mbona wewe hauja mwacha mmeo kama na we hilo tatizo unalo!Hilo tatizo hata mimi ninalo(ingawa mimi ni me) cha msingi ni kuachana naye na kuishi maisha yako tu.
Habarini za mida hii wandugu.Mwanzoni mpnz wangu alikuwa ananijali,tunasaidiana ktk mambo mbalimbali,tunapeana ushauri,but inakuja kutokea kuwa mambo yamebadilika,mawasiliano yanapungua,hanipigii cm had nimpigie,nikimtumia sms hajibu inapita had siku nne kimya,ikatokea nna shda namwambia anakaa kimya hajibu,nikimuliza kama kuna tatizo anasema hakuna shida yoyote,yupo bize tuu.nashindwa kuelewa nifanyeje,na nini kimemsibu,naombeni ushauri wenu.
Kinacho umiza ni mapenzi au yale maneno ya kimapenzi?Pole mwaya...............
mapenzi yanaumiza acha tu
Mbona wewe hauja mwacha mmeo kama na we hilo tatizo unalo!
Habarini za mida hii wandugu.Mwanzoni mpnz wangu alikuwa ananijali,tunasaidiana ktk mambo mbalimbali,tunapeana ushauri,but inakuja kutokea kuwa mambo yamebadilika,mawasiliano yanapungua,hanipigii cm had nimpigie,nikimtumia sms hajibu inapita had siku nne kimya,ikatokea nna shda namwambia anakaa kimya hajibu,nikimuliza kama kuna tatizo anasema hakuna shida yoyote,yupo bize tuu.nashindwa kuelewa nifanyeje,na nini kimemsibu,naombeni ushauri wenu.
Amesema yeye ni me... Atamuachaje mumewe?
Kinacho umiza ni mapenzi au yale maneno ya kimapenzi?
Je vous remercieA na B yote majibu
Pole mwaya..
Mim naona kama kuna kibuti hapo...mana akufukuzae akwambii toka..