Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,425
Habari wana jf km kichwa hpo juu kinavyojieleza niende kwenye mada kabisa
Huku jf asilimia karibu zote wengi tunatumia ID fake....kwahiyo kumtambua huyu ni fulani hata km unafanya nae kazi ofisi moja inakuwa ni ngumuu.......huku jf kuna majukwaa mengi saaana na yanapedwaaa sana tu lkn kwa mtazamo wangu jukwaa la MMU linapedwaaa zaidii.......
Watu wanajadili mambo mengi kuhusu swala zima la mapenzii.....na baadhi yetu wanapata wenza humu humu....
Wengine ndiyo hivyo wanatafuta hawapati au wanapata ni siri yao wenyewe....
Sasa humu jf kuna ile tabia mtu anakufata/mnamfuata pm anakutongoza mnapeana namba... Za simu Mnaendelea kuwasiliana mnaombana pichaa.....sasa unaweza ukumuomba me/ke picha akakutumia ya mtu mwingine siyakwake halisi.... Nawewe kwa kutokujua huwezi kugundua km ni yake au si yake. .......
Inafikia hatua mnakubaliana lbd muonane sehemu Fulani basi unajiandaa unaenda....ukifika sasa mtu uliye mtarajia kukutana nae nindugu yko.....lbd ni baba yako/mama au kaka/ shangazi.....mbaya zaidi ni MKEO/MUMEO utafanyaje???????