Mh mapenzi magumu ndugu yangu. Waweza kufa cku c zako ukiyaendekeza. Dunia hii ya sasa fumba macho na omba Mungu aendapo atachovuna avune mwenyewe. Wenye mapenzi hasa na wakwel ni wachache cku hz. We potezea msome km ndiye au la ikiwa ni mchumba na km mwana ndoa may b mkal often na kumtex ili apunguze ubusy wa huko na aongeze ukarib kati yenu zaid. Kumpata wa kukufanana ngumu. 2nawaonea kwa wenzetu tu.