Three idiot
Senior Member
- Jul 14, 2016
- 188
- 154
Wadau kama kawaida yangu Nina swali jingine naombeni maoni yenu.Mfano una boyfriend mnapenda Ila kama mnavyojua wanaume wakijua wanapedwa lazma wawe na maringo flan ivi...yani ww utajipendekeza tu kwake...and. Ktk hy hali ya kukuringia na kuku ignore kuna jamaa mwingine anakuzimikia haswa yani yupo karibu na wewe anakupa muda wake,anakujali kwa kila kitu Ila wewe haumpendi unampenda jamaa yako ambaye anajifanya yuko busy...na ktk chartings za Yule jamaa mwingine na wewe anaku text kimapenzi bt weww huonyeshi ushirikiano kiavyo....so kama ww ndo jamaa unaye mu-ignoer dem ukaona hz text utafanyaje???? Utasema demu wako anakuchet au utapunguza mapenzi kabisa na kuhisi hakuwa mwaminifu kwako...au ndo utaacha kujidai na kuanza kumuonyesha mapenzi yote? Na je kama ni mwanamke utafuta conversation unazochat na hy jamaa wakat huna interest nae pale ambapo unaenda kukutana na boyfriend wako kwa kuhofia akiziona atakuhisi ww ni muhuni????? Naombeni comments zenu juu ya hili.
Sawa utazipata comments zetu
Wadau kama kawaida yangu Nina swali jingine naombeni maoni yenu.Mfano una boyfriend mnapendana Ila kama mnavyojua wanaume wakijua wanapedwa lazma wawe na maringo flan ivi...yani ww utajipendekeza tu kwake...and. Ktk hy hali ya kukuringia na kuku ignore kuna jamaa mwingine anakuzimikia haswa yani yupo karibu na wewe,anakupa muda wake,anakujali kwa kila kitu Ila wewe haumpendi, unampenda jamaa yako ambaye anajifanya yuko busy...na ktk chartings za Yule jamaa mwingine na ww ana kutext kimapenzi bt ww hauonyeshi ushirikiano kiivyo....so kama ww ndo jamaa unaye mu-ignoer dem ukaona hz text utafanyaje???? Utasema demu wako anakuchet au utapunguza mapenzi kabisa na kuhisi hakuwa mwaminifu kwako...au ndo utaacha kujidai na kuanza kumuonyesha mapenzi yote? Na je kama ni mwanamke utafuta conversation unazochat na hy jamaa wakat huna interest nae pale ambapo unaenda kukutana na boyfriend wako kwa kuhofia akiziona atakuhisi ww ni muhimu????? Naombeni comments zenu juu ya hili.
Hahahahaha u guys don't make fun of it...et second ku-commentaiseee
the 2nd to comment
Siku hizi kuna jinsia ya tatu, Jinsia tataWe sijui Me au ke...Naogopa kuandika ushauri wangu inabidi nianze na jinsia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama jina lako lilivyo three idiots kwenye ubora wenu kwa maana ya huyo mdada, boyfriend na huyo mwengne mshika mapembe
Km mapenzi huyawezi Fanya mambo mengine, sijaona la maana hapo labda unisaidie Muvi nyingine kali aliyoicheza huyo stering wa hiyo muvi ambayo ni user name yako.Hahahahaha u guys don't make fun of it...et second ku-comment
Kwann ukae na mwanaume anayekuignore wkt ww bdo binti.... aone tu ndo atajirekebishaWadau kama kawaida yangu Nina swali jingine naombeni maoni yenu.Mfano una boyfriend mnapenda Ila kama mnavyojua wanaume wakijua wanapedwa lazma wawe na maringo flan ivi...yani ww utajipendekeza tu kwake...and. Ktk hy hali ya kukuringia na kuku ignore kuna jamaa mwingine anamzimikia demu haswa yani yupo karibu na dem anampa muda wake,anamjali kwa kila kitu Ila dem hampendi anampenda jamaa yake ambaye anajifanya yuko busy...na ktk chartings za Yule jamaa mwingine na dem ana mtext kimapenzi bt demu haonyeshi ushirikiano kiavyo....so kama ww ndo jamaa unaye mu-ignoer dem ukaona hz text utafanyaje???? Utasema demu wako anakuchet au utapunguza mapenzi kabisa na kuhisi hakuwa mwaminifu kwako...au ndo utaacha kujidai na kuanza kumuonyesha mapenzi yote? Na je kama ni mwanamke utafuta conversation unazochat na hy jamaa wakat huna interest nae pale ambapo unaenda kukutana na boyfriend wako kwa kuhofia akiziona atakuhisi ww ni muhimu????? Naombeni comments zenu juu ya hili.