Utabiri wangu mechi ya Simba na Yanga, tarehe 8 Machi

Kama uliona mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo vipi?Tuendelee kusubiri.Baba kubaliana tu kiukweli kuwa Wewe shabiki wa Simba mahaba yalikuzidi ukashindwa kutafsiri nyota vizuri.Kiupande ulikuwa sawa kuwa Nyota ya simba inang'aa mana simba wameposess kuliko Yanga lakin ilipokuja kutafsiri upande wa Yanga mahaba niue na sasa Yamekuua.
Kuwa mpole dakika 90 bado

Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utabir wangu clear japo first yellow card hakupata kasi Kama nilisema nimecheza na muda na wakati maji yanaporudi saa kumi na moja na gol likapatikana
mkuu mshana tugonge cheers

kilicho akilini kitumie
 
Vipi mlivyochemka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…