CHADEMA msivurugwa na magamba na mkielewena kwenye chama 2015 mnachukua nchi jipangeni vizuri watumieni Wazee (Prof. Baregu, Slaa) na mawazo mapya ya vijana(Zitto, Wenje, Lema, sasa Nassari, Lissu) kuiangusha CCM. Hongereni,nikitaka kutuma mchango nafanyaje? please mwenye kujua anipe details kwa:
franktemu123@yahoo.co.uk Frank, hapa mimi sina M-PESA,wala Tigo pesa. Nafikiri njia rahisi ni western union.. please ziwe details za chama si akaunti ya mtu binafsi