Utabiri wa leo: Simba 0-2 Coastal Union

Utabiri wa leo: Simba 0-2 Coastal Union

Leo nmefaikiwa kufanya utabiri Kwa kumtumia mdudu Kwa kinyakyusa anaitwa (sonda kipake).
Pupa kanitabiria kuwa makolo wanakufa 2-0 Kwa coastal.
Siku ile uliahidi Simba asipofungwa na Dynamos 3-0 utatoa tigo, baada ya mechi ukatoa. Leo unaahidi kutoa tena?
 
Yule TAHIIIIIRRA MWNGINE utasikia.

INONGA AMEPIGWA MISUMARI NA KENEDY.

NAJUA NAJIANDAA KUTYPE MAUSHIRIKINA YAKE.
 
Sio hivyo matokeo ni haya👇

images (2).jpeg
 
Back
Top Bottom