Utabiri wa katuni za kesho!!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,535
Reaction score
31,199
Kuna mchora katuni ataibuka na katuni yenye kuonesha jinsi harufu kali ya choo kilichohamishiwa Sebuleni ikiwakimbiza wapinzani kutoka Chama flani na kufuata hewa safi ya inayotengenezwa na Chanikiwiti
 
Utabir mda huu..magazet si yashachapishwa
 
Kuna mchora katuni ataibuka na katuni yenye kuonesha jinsi harufu kali ya choo kilichohamishiwa Sebuleni ikiwakimbiza wapinzani kutoka Chama flani na kufuata hewa safi ya inayotengenezwa na Chanikiwiti
Weka picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…