Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,224
- 236
Kwani hilo nalo la kulitabiria? Nasikia JK ameshatupa jalalani mapendekezo mengi ya BungeHebu nitabirie atakaloamua rais kuhusu mapendekezo ya bunge juu ya wahusika wa tegeta escrow.
Hebu nitabirie atakaloamua rais kuhusu mapendekezo ya bunge juu ya wahusika wa tegeta escrow.
Kwa hali ilivyo mpaka sasa natabiri CCM itashinda kwa kishindo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa 80%, ikifuatiwa na CHADEMA 12% na vyama vingine vitagawana 8%. Amini usiamini huu ndo utabiri halisi utakaotimia kuanzia tarehe 14,Desemba 2014. Mnaopinga tusubiri siku ifike!
CCM ushindi daima.
Huu utabiri hautofautiani sana na matokeo ya uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015.