Diego simione wataalam wa mpira hawampi chepuo kwa kuwa amekaa kihuni arsenal imamashabiki ndani ya royal family na ni timu ya waungwana.pia falsafa ya arsenal ni kucheza attractive football amboyo sio falsafa ya Diego simione

Kwanza mshukuruni Mungu mkimpata huyo simeon the best coach....lakini i know that hamumpati hata kwa dawa....ukiwaacha Wakina simeon, pep, zidane, mauricio pocchetino, allegri, waliobakia wakina anceloti, benitez,moyes and vangaal, hawa ndio wa saizi yenu wa low prices πππ