Kwa kadiri ya uono wa macho na hisia za kawaida za binadamu,Imani kwenye dini/dhehebu kwa mtu ina nguvu mara kumi au zaidi kuliko mapenzi kwenye siasa au vyama.
Sasa,hao vibaka waje bila mipango na kutaka kutuaminisha ghafla tu watu waisaliti imani yao na kutetea chama cha kijingajinga kama CCM?Nunca!Never! Haiwezekani!