NSHOMA FRANCOUS
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 698
- 327
Wana JF natabiri yafuatayo 2015...
1. CCM wataingia mitini kwenye mdahalo
2.Mradi wa mabasi yaendayo kasi dar kufunguliwa 2015.
3.CCM itasambalatika.....
Endelea nawe kutabiri.............................
4.DR SLAA ATASHINDA KWA KISHINDO NAKUCHAGULIWA ---- RAIS WA TANO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Ridhiwan atafilisiwa.
Wana JF natabiri yafuatayo 2015...
1. CCM wataingia mitini kwenye mdahalo
2.Mradi wa mabasi yaendayo kasi dar kufunguliwa 2015.
3.CCM itasambalatika.....
Endelea nawe kutabiri....................................
wezi wa simu watakuwa na magereza yao maalumu.dk slaa atashindwa vibaya na kuhamia ccm.huku akijisifia kupewa unaibu uwaziri wa vijana na michezo
dk slaa atashindwa vibaya na kuhamia ccm.huku akijisifia kupewa unaibu uwaziri wa vijana na michezo