Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
Unarudi nyumbani unakuta mtu anampiga mamaako makofi, ngumi, mitama,!!
Ile unakimbilia ndani kuchukua silaa! Unamkuta mkeo anakula uroda na jirani yako,!!
Kwa haraka utaanza na yupi.,!!??? Nasubili jibu
Ukikuta ni Baba yako ndio amemfumania mama (alikuwa amajificha uso)Mim naenda kumuua anaempiga mama,mke si ataiosha halafu namimi naweka jembe la kiafrika(mpini)...loading error...