Utaalam wa kuandika program kwa kutumia either code block au visual basic au java

Utaalam wa kuandika program kwa kutumia either code block au visual basic au java

Joined
Mar 4, 2013
Posts
93
Reaction score
9
NI SIKU NYINGI NAJIULIZA MWENYEWE NAKOSA MAJIBU IVI MAPROGRAMMER WANAZILINK VIPI ZILE PROGRAM WANAZOZIANDIKA NA MTANDAO YAANI MFANO PROGRAM YA BENK (ITM) YA KUTOA NA KUAMBIWA KIASI ULICHOTOA NA ULICHOBAKIZA NAV ITU VINGINE VINGI. naomba msaadawenu wataalamu wa code

  • A%20S-key.gif
 
Dah kamanda si uandike vizuri tukuelewe zaidi! ITM ulimaanisha ATM?

Any how, program zinakuwa linked kwa kutumia network, sasa exactly utatumia technology ipi kuwezesha program mbili ziongee hii inategemea na uwezo wa program unayotaka kuongea nayo na maamuzi ya programmers, unaweza ukaongea kati ya program directly kwa TCP, unaweza ukatumia HTTP (Mara nyingi wanaita webservices) plus inabidi muamue hizo program zitaongea kwa format gani mnwaweza kutumiana mafaili tu, program A inaandika text file yenye data katika folder kwenye network, program B inacheck hiyo folder kila dakika 5 kuona kama kuna mafaili mapya inayasoma, hivi ndo system nyingi za benki zinavyofanya kazi.

Mnaweza kuonge kwa XML au JSON format kutumia HTTP again hizi ndo web services. Na kuna technolojia zengine ambazo ni specific kwa lugha/framework unayotumia.
 
programming languages nyingi huwa na kipengele cha networking programming.
kwa java inaitwa socket programming,kwa c/c++ inaitwa winsocks(kwa windows) na unix/linux(socket).kwa hyo ukiwa umesoma na kuelewa vizuri (c/c++/java/ect.. networking programming )basi hzo mambo hazitokupa shida.

nakushauri ujifunze java socket programming ni rahisi kwa kuanzia.
 
Nashukru sana wadau nimesoma c na c++ pia vp kuhusu practical ya kuunganisha cables na wireless (NETWORKING) NAWEZA KUIPATA WAPI KWA MOROGORO MAKE NIMESOMA THEORY
 
Back
Top Bottom