Dah kamanda si uandike vizuri tukuelewe zaidi! ITM ulimaanisha ATM?
Any how, program zinakuwa linked kwa kutumia network, sasa exactly utatumia technology ipi kuwezesha program mbili ziongee hii inategemea na uwezo wa program unayotaka kuongea nayo na maamuzi ya programmers, unaweza ukaongea kati ya program directly kwa TCP, unaweza ukatumia HTTP (Mara nyingi wanaita webservices) plus inabidi muamue hizo program zitaongea kwa format gani mnwaweza kutumiana mafaili tu, program A inaandika text file yenye data katika folder kwenye network, program B inacheck hiyo folder kila dakika 5 kuona kama kuna mafaili mapya inayasoma, hivi ndo system nyingi za benki zinavyofanya kazi.
Mnaweza kuonge kwa XML au JSON format kutumia HTTP again hizi ndo web services. Na kuna technolojia zengine ambazo ni specific kwa lugha/framework unayotumia.