uswahilini

Deane96

New Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
3
Reaction score
0
duh.!kila strt ina ishia nyumbani kwa mtu..je nini tatizo.?
 
Kuna siku nilipita mitaa fulani ambayo sikuifahamu vyema,
si nikajikuta nimetokea uwani kwa mtu, wenyewe wameketi
kwenye mkeka wanapata...
 
kuna haja ya mods kuanzisha jukwaa la stori maana tunachanyiwa thread za ajabu mno au ndo watu wanaogopa kuambiwa copy and paste
 
kwani nini hii au amepata cha Arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…