Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,983 Reaction score 1,252,307 Mar 13, 2017 #1 Kila kitu kilichopo mwilini kwa kuku ni mboga safi kabisa sio utumbo wala miguu au kichwa vyote vina hadhi sawa na upaja,kipapatio(wings)
Kila kitu kilichopo mwilini kwa kuku ni mboga safi kabisa sio utumbo wala miguu au kichwa vyote vina hadhi sawa na upaja,kipapatio(wings)
jozzeva JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 2,193 Reaction score 1,832 Mar 14, 2017 #2 Yum yum..so aromantic
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,369 Reaction score 18,455 Mar 14, 2017 #3 Aisee!
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,454 Reaction score 1,569 Mar 14, 2017 #4 Kama nyie mnakula bata sisi kuku tu
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 Mar 15, 2017 #5 Hapo ugali pembeni. Sio mchezo
barakaglory JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 481 Reaction score 474 Mar 15, 2017 #6 Haswa haswa miguu yaani ni mitamu hiyo balaaa[emoji39]
ben milazo JF-Expert Member Joined Jan 18, 2015 Posts 995 Reaction score 678 Mar 15, 2017 #7 kweli ukiambiwa kuna watu wanaishi na watu wanaigiza hapo ndo utaelewaa kwamba wanamanisha nini mwingine ale maini mwingine miguu hii noumah sasa
kweli ukiambiwa kuna watu wanaishi na watu wanaigiza hapo ndo utaelewaa kwamba wanamanisha nini mwingine ale maini mwingine miguu hii noumah sasa
S St Lunatics JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 6,641 Reaction score 11,201 Mar 15, 2017 #8 Halafu huyo anakuja kujamba kwenye daladala sijui itakuwaje?[emoji15] [emoji12] [emoji23] [emoji23] Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Halafu huyo anakuja kujamba kwenye daladala sijui itakuwaje?[emoji15] [emoji12] [emoji23] [emoji23] Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nelson nely JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 4,250 Reaction score 2,870 Mar 15, 2017 #9 Ndo zangu hizo nikiendaga gwasa!
MNYAMAKAZI JF-Expert Member Joined Oct 7, 2014 Posts 2,118 Reaction score 2,199 Mar 15, 2017 #10 tozi25 said: Halafu huyo anakuja kujamba kwenye daladala sijui itakuwaje?[emoji15] [emoji12] [emoji23] [emoji23] Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125] Click to expand... Zote nyama tu, iwe kichwa iwe paja ni protini tu so sidhani kama ujambo wa vichwa na miguu unakuwa amazing zaidi kuliko wa aliyegonga vipaja.
tozi25 said: Halafu huyo anakuja kujamba kwenye daladala sijui itakuwaje?[emoji15] [emoji12] [emoji23] [emoji23] Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125] Click to expand... Zote nyama tu, iwe kichwa iwe paja ni protini tu so sidhani kama ujambo wa vichwa na miguu unakuwa amazing zaidi kuliko wa aliyegonga vipaja.
As Salafiyyu91 JF-Expert Member Joined Jan 11, 2014 Posts 2,537 Reaction score 2,544 Mar 15, 2017 #11 Umenikumbusha mbali sana mkuu!!!