Me ukimwi nauogopa jamani/bora nitafute mwali/wa makamu na twende hospitali/tukamwone daktari/au kijana mshauri/ si kwamba kututibu bali kutushauri/kwani we ukiupata ni kwako/nyumbani kwako/na mke wako/shauri yako.....inaendelea....
Wapo uswahilini matola barabara ya tatu ....
Gax n fundi makenika
Mwingine yeye na dogo lake linaitwa Juma ni mateja.
Maskani yao ni Fiesta Saloon,Home boyz pale utawakuta Mateja kibao....
Wakijipanga kutoka kivingine.