uswahilini kuna vituuukoooo.

Mdudu Wa Masala

Senior Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
134
Reaction score
79
Jamaa baada ya ugomvi na waif mswahili alisusia msosi akaishia dili ile kurudi toka kazini kamkuta mkewe kavaa kanga imeandikwa
"UKISUSIA WENZIO WALA"
Ilipofika asubuhi kavaa kanga imeandikwa
"UKITOKA MWENZIO ANAINGIA"
Daah jamaa akagoma kwenda kazini..
mke akavaa kanga imeandikwa "HAMNIWEZI
NIMEMDHIBITI NDIO MANA HATOKI"
Jamaa akaenda kuomba ushauri kwa rafiki yake mkubwa
akamwambia twende nyumbani. wakamkuta waifu
kavaa kanga imeandikwa
"ULIDHANI RAFIKI YAKO KUMBE ADUI YAKO" ..rafiki yake akakosa cha kuongea. mke kaamka
kaingia ndani..rafiki akaamua kuaga... shemeji mimi
naondoka.waifu hakujibu akaingia chumbani akitoka amebadili kanga
imeandikwa,KATANGAZE,
Chezea muusswahili weweee.
 

Hii nimeipendaaaaaaaa
 
huhuhuhu.
sasa izo kanga zote alikua anatoa wapi au ana kiwanda uko chumbani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…