SumadaVinci Senior Member Joined Dec 27, 2018 Posts 161 Reaction score 328 Sep 29, 2020 #1 Tupost maendeleo yetu ili mturoge hapa ni USWAHILI kwenda mbele alisikika mswahili mmoja akiteta na waswahili wenzake🤣🤣🤣 basi tuendeleze uswahili
Tupost maendeleo yetu ili mturoge hapa ni USWAHILI kwenda mbele alisikika mswahili mmoja akiteta na waswahili wenzake🤣🤣🤣 basi tuendeleze uswahili
SumadaVinci Senior Member Joined Dec 27, 2018 Posts 161 Reaction score 328 Sep 29, 2020 Thread starter #2 Girl wako anakusifu uko vizuri wakati wa tendo .....hivi anajaribu kukulinganisha na nani?? tumia hekima basi broh 🤣🤣🤣
Girl wako anakusifu uko vizuri wakati wa tendo .....hivi anajaribu kukulinganisha na nani?? tumia hekima basi broh 🤣🤣🤣
SumadaVinci Senior Member Joined Dec 27, 2018 Posts 161 Reaction score 328 Sep 29, 2020 Thread starter #3 Huwaga sipendi hata kidogo mchungaji wangu anavyoniangalia. akianza kuhubiri habari za uzinifu😏😏 😥😥
SumadaVinci Senior Member Joined Dec 27, 2018 Posts 161 Reaction score 328 Sep 29, 2020 Thread starter #4 MUNGU ATAKULIPAA .....MUNGU ATAKULIPAA...!! NASEMA MUNGU ATAKULIPAAAAA hivi ndivyo nitakavyotest MIC 🎤 kwenye harusi ya EX wangu hakuna mtu anapendaga UJINGA 🤣🤣🤣
MUNGU ATAKULIPAA .....MUNGU ATAKULIPAA...!! NASEMA MUNGU ATAKULIPAAAAA hivi ndivyo nitakavyotest MIC 🎤 kwenye harusi ya EX wangu hakuna mtu anapendaga UJINGA 🤣🤣🤣
Exogenous Factor JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 1,442 Reaction score 2,441 Sep 29, 2020 #5 SumaEvara said: MUNGU ATAKULIPAA .....MUNGU ATAKULIPAA...!! NASEMA MUNGU ATAKULIPAAAAA hivi ndivyo nitakavyotest MIC [emoji441] kwenye harusi ya EX wangu hakuna mtu anapendaga UJINGA [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
SumaEvara said: MUNGU ATAKULIPAA .....MUNGU ATAKULIPAA...!! NASEMA MUNGU ATAKULIPAAAAA hivi ndivyo nitakavyotest MIC [emoji441] kwenye harusi ya EX wangu hakuna mtu anapendaga UJINGA [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
SumadaVinci Senior Member Joined Dec 27, 2018 Posts 161 Reaction score 328 Oct 1, 2020 Thread starter #6 Nmelala getho kwa PISI yangu ,nmeomba nauli ya kurudi kwetu kakataa mbona mimi sifanyagi hivi akilala kwangu 🤣🤣🤣🤣
Nmelala getho kwa PISI yangu ,nmeomba nauli ya kurudi kwetu kakataa mbona mimi sifanyagi hivi akilala kwangu 🤣🤣🤣🤣
SumadaVinci Senior Member Joined Dec 27, 2018 Posts 161 Reaction score 328 Oct 1, 2020 Thread starter #7 ROSE na AGNESS bado mko bikra au tuwape muda kidogo Mjielezee 🤣🤣🤣