Ususiaji wa Nyama waanza rasm mjini Arusha.

Status
Not open for further replies.

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,204
Reaction score
37,555
Wakuu hili swala la uchinjaji wa nyama Serekali inabidi iliangalia vizuri na inabidi ukurupukaji wa Bwana Wasira utazamwe upya.Leo nilipita mitaa ya Picknic na Soweto kwaajili ya kupata Nyama choma ajabu bar zote walikuwa na nyama ya jana nilipouliza kulikoni nilijibiwa uchinjaji wa nyama kwajili ya biashara umeshuka sana kwakuwa wanunuzi wengi wamesusia ulaji wa nyama ya ng'ombe kwasababu za kiimani.

Ikumbukwe sakata la uchinjaji limeanzia Mwanza na sasa limetua Arusha sijui kesho na keshokutwa litakwenda wapi serekali ipo kimya hili kwao si tatizo.Watawala wetu wamezoea kutatua jambo likiwa limeshafikia hatua mbaya hili tumelishuhudia Mtwara.

Naomba kuwasilisha.
 
Nakuunga mkono MBUZI MZEE kuchinja Mnyama ni uuaji so hakuna haki ya Mnyama
 
.......serekali ipo kimya hili kwao si tatizo.Watawala wetu wamezoea kutatua jambo likiwa limeshafikia hatua mbaya hili tumelishuhudia Mtwara.

Naomba kuwasilisha.

Wasira ni Serikali, na wemesha sema nani ni mchinjaji. The issue here is why, involving Government kwenye mambo ya Imani na ibada kama inavyo daiwa au semwa kuwa kuchinja Mnyama kwa Waislam ni ibada, correct me if I am wrong.

The TZ Gov must show a legal clause, if any, kwenye Katiba ya Nchi ambayo inawapa sole authority dini fulani kufanya hivyo, otherwise udini sasa umegonga hodi Bongo.
 
Kwani hata Noah watasaidia kuchinja???

Sioni mantiki ya hii kitu, kama ilivyo kwa mabucha ya minofuu tu, ya red meat tu nk, kwanini pasiwepo mabucha ya nyama ilochinjwa kwa hiyo ibada tu, na mengine haya tulozoea??

Tokea biashara ya mabucha kuanza TZ mpaka hii system ilipokuja, kwani dini zote zilidhurikaje kwa kula hizo nyama??

Kwanini Leo?
Kwanini itugawe?
 
Hili swala HALITAPITA SALAMA !!! naona kwambaaaaaaaaali damu inamwagika kwa mapanga! nguvu ya serikali imejikita kuikomboa CCM badala ya kutatua matatizo yanayo iua Nchi kwa kushawishi Wananchi kwa mbinu halali.
 
kuna sms za uhamasishaji zinatambaa kwa kasi ya mwanga
 
Wakuu hili swala la uchinjaji wa nyama Serekali inabidi iliangalia vizuri na inabidi ukurupukaji wa Bwana Wasira utazamwe upya.Leo nilipita mitaa ya Picknic na Soweto kwaajili ya kupata Nyama choma ajabu bar zote walikuwa na nyama ya jana nilipouliza kulikoni nilijibiwa uchinjaji wa nyama kwajili ya biashara umeshuka sana kwakuwa wanunuzi wengi wamesusia ulaji wa nyama ya ng'ombe kwasababu za kiimani.

Ikumbukwe sakata la uchinjaji limeanzia Mwanza na sasa limetua Arusha sijui kesho na keshokutwa litakwenda wapi serekali ipo kimya hili kwao si tatizo.Watawala wetu wamezoea kutatua jambo likiwa limeshafikia hatua mbaya hili tumelishuhudia Mtwara.

Naomba kuwasilisha.
kwani wale wamasai wana dini?
 
Mi kuanzia wasira atangaze kuwa waislam ndo watakuwa wanachinja, nimebadili ratiba ni kiti moto tu kwa kwenda mbele
 
Wakuu hili swala la uchinjaji wa nyama Serekali inabidi iliangalia vizuri na inabidi ukurupukaji wa Bwana Wasira utazamwe upya.Leo nilipita mitaa ya Picknic na Soweto kwaajili ya kupata Nyama choma ajabu bar zote walikuwa na nyama ya jana nilipouliza kulikoni nilijibiwa uchinjaji wa nyama kwajili ya biashara umeshuka sana kwakuwa wanunuzi wengi wamesusia ulaji wa nyama ya ng'ombe kwasababu za kiimani.

Ikumbukwe sakata la uchinjaji limeanzia Mwanza na sasa limetua Arusha sijui kesho na keshokutwa litakwenda wapi serekali ipo kimya hili kwao si tatizo.Watawala wetu wamezoea kutatua jambo likiwa limeshafikia hatua mbaya hili tumelishuhudia Mtwara.

Naomba kuwasilisha.

Unapokuwa na wakubwa wa nchi wanaoendekeza udini, usishangae kuona JIPU HILI LIKIZIDI KUIVA.

MUNGU WA REHEMA asaidie nchi yetu kuzuia kinachoanza kuwa kimelea cha cocktail mbaya sana ya udini!
 
Always mwafrica ndio muathirika mkuu wa mapokeo!! Poleni ndugu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom