Usuluhishi katika mambo ya ndani

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,733
Reaction score
14,157
Naam mambo ya ndani ya nyumba,

Nimekaa kibarazani akaja na mkewe wakaniomba nisuluhishe hili jambo, mwenyewe bado natafakari ila nimewaomba warudi nyumbani na jamaa aendelee kwani yeye ndiye aliyemfunza.

Suala lenyewe mkewe analalama kwamba jamaa ndiye aliyemfundisha huo mchezo,,,naam mchezo,,,sasa mkewe kanogewa na mchezo na jamaa hataki mchezo tena,,,kwa hiyo kesi nimeletewa.

NATAFAKARI.
 
Nitumie namba za mke aliyenogewa
 
Inaonekana taifa limeharibika sana mtani
Jamii yetu inafanya dhihaka hawa mwogopi Mungu,,,,haya mambo yanazungumzwa kwenye jamii kama vile ujanja fulan hivii...ati kwa mpalange bila kujua madhara ya kimwili na kiroho.
 
Wanaume, wanaume, wanaumeeeeee!

Ninarudia tena, wanaumeeee!

Ni kosa kubwa sana kupeleka suala lolote la ndoa yako kwa mwanaume mwenzio. Usijaribu kabisa, labda kama umeamua kuvunja hiyo ndoa yako.

wanaoelewa wamenielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…