ustin Gatlin upsets Usain Bolt in 100 meters

Makanyaga

Platinum Member
Joined
Sep 28, 2007
Posts
11,818
Reaction score
7,562
[h=1]Justin Gatlin upsets Usain Bolt in 100 meters[/h]8 hours ago

The stunning image is now bouncing around the world: Usain Bolt, fastest man in human history, watching an American sprinter cross the finish line in front of him.
It happened Thursday, as the once-disgraced Justin Gatlin ran a 9.94 in the 100-meter final at the Rome Diamond League. Bolt, the two-time 100-meter Olympic gold medalist known for cruising to early leads and then coasting to record times, couldn't catch Gatlin from behind and was reduced to glancing to his right at the line. He later blamed a stumble out of the blocks.
"I got the perfect start but stumbled after five meters," Bolt told reporters. "It's just one of those things.
"I guess I need to be stronger at the end of the race. I think it just needs some time to get it all back together."
Bolt has been dealing with hamstring issues, which explains him running more than a third of a second off his own world-record pace of 9.58, but the story of the day (and thus the track season so far) is Gatlin, who has literally raced back from ignominy into the international limelight.
bolt-1-gif_221832.gif
Gatlin, who got his start jumping fire hydrants in Brooklyn, ran into his country's good graces with a gold-medal winning 9.85 at the 2004 Olympics in Athens. His descent, however, was as quick as his rise, as he got an eight-year doping ban from the sport two years later when he tested positive for testosterone and other PEDs. His punishment was reduced to four years, otherwise he would still be out of racing now.
Gatlin tried out for three NFL teams during his exile, running a 4.2 in the 40-yard dash but getting no contract offers.
In 2010, he made his return to track and then proceeded to shock much of the track world by running a 9.8 to win the 100-meter Olympic trials in Eugene, Ore., in 2012. That was the fastest time in recorded history for a man over the age of 30, and he beat his own record with a 9.79 to win bronze in London last year. Thursday's shocker cements the 31-year-old's improbable comeback onto the world's stage.
The specter of drug use will always trail Gatlin, but for at least one day, he is faster than the fastest man who ever lived.

Source: Y! SPORTS
 
Haya majitu yanatoka nduki aisee hadi inatisha kuyatazama live!Bolt ana kazi kweli hivi sasa maana kuna watu akikaa nao kwenye starting block wanamlazimisha akimbie muda wake maximum wa rekodi ya dunia vinginevyo akimbwela tu wanamning'iniza.Gatlin,Blake na Gay wote wakimuona Bolt utasikia wanagonga 9.7 hadi 9.8 ina maana jamaa inabidi alete 9.6 ili ashinde.ubingwa una madhila lake bwana!Chomba we unakimbiaga sekunde ngapi goli hadi goli(100m)?
 
Hah hah hah haaah nikiwa uwanja wangu wa kujimwaya mwaya yaani uwanja wa Mashujaa huwa nakimbia kwa sekunde 10 kamili mita hizo 100.

Ok turudi kwenye mada.
nilifarijika sana baada ya kusikia Justin Gattlin katoka kifungoni.
Kwa kifupi mimi ni mshabiki sana wa wanariadha wa US...

So huu utawala wa mjamaica umeninyong'onyesha na kunishikisha adabu kwa miaka ya karibuni.
 
ha haa,hebu pima huo uwanja nahisi utakuwa na mita 70,10 seconds si mchezo mazee,kuna siku na mie nilijifanya wamo nikakurupuka mita 100m kwa kasi ya hatari,kucheki stopwatch ni 16 seconds,nikawa najisikia homa,mafua,kifua,choo kinabana,navuta hewa lakini haitoshi,jamaa wakawa wananipepea.nyonga zote hazifai!sijawahi kujua kumbe ukikimbia sana hadi makalio huwa yanauma baadae!,U.S mlikuwa mmejisahau kwa vile hamkuwa na upinzani.sasa wajamaica wanawafanyeni mpige tizi la ukweli.we mtu ana miaka 30+ lakini anagonga sub ten seconds si mchezo!zoezi mnafanya sasa!
 
Hah hah haaaah umenichekesha san kwa vipimo vyako ulivyovipachika ktk uwanja wa mashujaa.
Ule uwanja ni mita 100 ila pentagon...
 
Haya majitu yanatoka nduki aisee hadi inatisha kuyatazama live!Bolt ana kazi kweli hivi sasa maana kuna watu akikaa nao kwenye starting block wanamlazimisha akimbie muda wake maximum wa rekodi ya dunia vinginevyo akimbwela tu wanamning'iniza.Gatlin,Blake na Gay wote wakimuona Bolt utasikia wanagonga 9.7 hadi 9.8 ina maana jamaa inabidi alete 9.6 ili ashinde.ubingwa una madhila lake bwana!Chomba we unakimbiaga sekunde ngapi goli hadi goli(100m)?
Kumbuka Bolt ana uwezo wa kugonga 9.5*** s. Hana mchezo na watoto, ni matatizo matupu, mwache tu kama alivyo!
 
Back
Top Bottom