Ustaarabu wa Magufuli vs wa Slaa!

kazi kweli kweli mwaka huu hapa :sick: :glasses-nerdy: kila mtu anavutia kwake
 
Mtoa mada sijui kala maharage ya wapi huyu. Mbona wote miguu yao haionyeshi sehemu walipokanyaga? Nadhani hapo tatizo ni angle picha ilivyopigwa. Wote wamesimama pembeni ya dereva na muundo wa gari hizo ni kama unafanana hivyo naamini aliposimama Magufuli ndipo aliposimama Slaa.
 
Sijasema/kubali kwamba Mh. Slaa amekanyaga kiti cha gari lakini ustaarabu ni zaidi ya "kukanyaga kiti", Ni bora kukanyaga kiti cha gari kuliko kukubali kutumia ndege ya Rais kwa safari binafsi(hata kama kwa kupewa).
 

We kweli Mtumzima!
 

Mbona unatumia nguvu kuandika?
 
Hivi sisi watanzania ni wagomvi sana!?
Tuna utani sana!? Au wavivu hatuna kazi za kufanya!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…