Kama unamzungumzia Yesu basi jua tu kuwa kuzaliwa, kuteswa na kufa kwake kulishatabiriwa na ni mapenzi yake mwenyewe aliruhusu kuchapwa bakora kama unavyosema, yeye mwenyewe alisema nautoa uhai wangu na ninautwaa tena. Na kwa ushahidi ni kwamba alifufuka kama mwenyewe alivyosema sasa tatizo liko wapi? Na kama aliahidi vyote hivyo na vikatokea na aliahidi neno lake ndio litakalohukumu basi elewa kuwa atahukumu kweli kama alivyosema