uspite tu! Lazma inakuhusu.

uspite tu! Lazma inakuhusu.

G Mpoleeee

Senior Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
153
Reaction score
16
nimetumia likizo yang yote jf nimekutana na wengi. Kuna watu wamenvutia na kunpokea vizuri kama hot mod jina lake gum alini pm ushauri wa maana na haja pamoja na anty ashadii ambae nataman angekuwepo naskia bado mgonjwa, hot mod nido zake zinanitoaga macho, dazpoz, mphamvu, wengine cwataj sbb walkua ki pm zaid na familia yote ya anty Ashadii ambae aliniunganisha kwa woote na wote wakanipokea. wanafurahsha sana hawa i wish mngekua kwel hivo. nimesahau majna ya wana familia wengine namkumbuka anty kingasti sbb mkal na anatishia ki toy gan chake kila saa na ankal kaizer sbb nae alnikarim. Husninyo sbb ya kihere here cha kuchongea na Mwali na swt lady sbb alisema Cookie wake. Niltaka kusahau na Michele, Afrodensia, 1st lady hawa walnipa ushauri wa kau mbunge na dada 1st lady nae alikua ananipm kunitulza. Niksahau kumtaja Lizy alienpokea kwa mbwembwe akakuta mtoto wa kike nina mbwembwe zaid yake nikchokolewa itakua sio busara ila punguza kidogo hizo mbwembwe. MTM ni kweli nakupenda ila sio kimapenzi napenda myuzik avata ikanivuuuuuta! nitakumiss ila nakupenda sana. Cookie mod wa chit chat ni mod mzuri na muelewa huyu naona nilikua na ka chembe ka kumdondokea ndio manaa cmpend swtlady. Mnisamehe niliokua nawaboa na wale ambao wakiniudh nilkua nawatus cko hivo ila nilkua naona raaaaha kwenye haya mafek ID! Na nyie mliokua mnaniboa nawasamehe. Btw sio utani. Mi ni mzuri na mpolee pia ukiniona. Jina langu halis ni Sharon N na nina 18. Naomba mnipe hongera nimefaulu na kupata div II. Najua nikitaka nifanye vyema inatakiwa niache mambo ya mtandao na kushinda na chat na cm. Masomo yang ni science kombi ilio tick ni PCB na cjafanya vzuri matokeo kwa masomo hayo sbb Mathe imenifelisha na nilikua nataka PCM. Mubarikiwe wote bwana awe nanyi.


Golden Mpoleeee.

Bye!
 
We shall miss your vulgarities But as I repeat myslf, you are one tough gal. I am sure you can be what you want. PCB is the easiest combination.I am sure with a little effort you will make it.

Goodluck in you future and be good.
 
We shall miss your vulgarities But as I repeat myslf, you are one tough gal. I am sure you can be what you want. PCB is the easiest combination.I am sure with a little effort you will make it.

Goodluck in you future and be good.



Thanx very much.
 
Njoo twisheni kwangu nikufundishe hesabu ili uende People Confusing Mind(PCM) uliyokuwa unaitaka.
 
chuo changu hakuna D mwisho tunaishia C tu, ukipata chini ya C una supplementary, madaraja katika chuo changu ni A, B+,B pamoja na C, ila kwa necta D ni passed.



ni kwel d ni pass upande wa necta. Niltarajia kupata b jnsi mtihan ulvokua ktk mahesab yang naona nimefeli!
 
Back
Top Bottom