Kayanda mtwebe
Member
- Nov 8, 2015
- 18
- 10
Sijasoma ulicho kiandika hapa. Lakini kwa ufupi ni kwamba spika wa bunge la 11 ni Job Ndungai.
Based on Lowassa campaign? Kwi kwi kwi! Mmeanza tena?
Ukitaja jina Lowassa njoo na air fresher. Maana utajaza nzi humu. Mzee wa kujinyea yule.
Spika ni Ndungai.
Ndugai ni candidate wa Lowassa ndiyo maana unaona nawataja pamoja. So ndiyo maana nimesema uhakika huo unaopata kutokana na nguvu iliyopo nyuma yake? Hii ilijulikana mbona mapema? Kacheki uzi mwingine lakini umeandika zaidi!
Sina haja ya kufatilia uzi wowote mimi. Niko field. Nyinyi mnaopenda kulishwa matango pori endeleeni kudanganywa kwa hizo nyuzi zenu. Ila sisi wa huku site ndio tunajua ni kwa namna gani Ndungai anamchukia Lowassa kuliko hata anavyo mchukia Shetani mwenyewe.
Sawa mkuu ila usipuuze sana hizi rumors! Kila ya kheri!
Based on Lowassa campaign? Kwi kwi kwi! Mmeanza tena?
Mkuu Lowassa anaingiaje hapa?
Lowassa inasemekana anampigia debe Ndugai kwani alikuwa kwenye kambi yake wakati wa uchaguzi wa ndani wa CCM
Kivuli cha Lowassa bado kinaitesa CCM.Lowassa inasemekana anampigia debe Ndugai kwani alikuwa kwenye kambi yake wakati wa uchaguzi wa ndani wa CCM
Unamjua Msukuma? Alikuwa kwenye kambi ya nani? Unajua Msukuma na Lowassa wana uhusiano gani sasa hivi? Acheni kukariri mambo.
Lowassa ni kama mfu anayesubiri kutangaziwa tarehe ya kuzikwa tu. Hana jipya lolote zaidi ya kujinyea tu.

Upuuzi mtupu huo. Hata kuandaa rumors hawajui hao watu. Kila mwana CCM anajua Ndungai ana mchukia Lowassa vibaya mno.