Usombaji watu wakera makatibu

Maswali ni mengi kupita majibu, ili ujue ukweli tafuta aliyehudhuria muulize utapata jibu sahihi,usiamini yanayosemwa jukwaani, yanaweza hayana ukweli wowote.
 
Mtu asiye mpu.mbavu hawezi kusoma kikaragosi kiitwacho "Tanzania daima" Kiongozi gani wa ccm anayeweza kufanya mahojiano na kijarida.

Kumbe Tanzania Daima! Hilo gazeti linalotumika kusafisha uchafu wa kwenye pampas?

 

sasa kuna haja ya kuyaamini maneno ya mzee mkapa kuwa ni m....la na m.....fa
 
Yani bavicha mmeanza kuwatukana watanzania kuwa wanalipwa kuhudhuria mikutano ya Magufuli...shauri yenu octoba haiko mbali watawanyima kura...

Mbona ushahidi unaonekana tena ni wa picha
 
Mtu asiye mpu.mbavu hawezi kusoma kikaragosi kiitwacho "Tanzania daima" Kiongozi gani wa ccm anayeweza kufanya mahojiano na kijarida.

Magazeti ya ccm yanazidi kuwapoteza kila siku na wala hamtozindikuka mpaka dunia ifike mwisho na lowasa ndo raisi
 
Kusomba watu oyeee
 

Attachments

  • 1444226856722.jpg
    48 KB · Views: 322
Wachumia tumbo mnahesabka humu,sema Mabadilikooooo Lowassaaa
 
malofa wanaendelea kubebwa na malori. Malofa bado wako wengi tanzania hii tujitahidi kuwaelimisha watapungua hata kuisha kabisa siku 18 ni nyingi.

Ni ukweli usiofichika na hata wajitahidi kuukana lakini wananchi wote wanaelewa hivyo. Ni ukweli pia tunao wajinga wengi na malofa na ccm inaamini hivyo na kwa mshangao wanaweza wakakubali kuonja sumu mwaka huu na kumpa mgombea wao kura nyingi na kubaki na miyao yao waliyoizoea kwa miaka mingine kumi. Sumu daima haionjwi ila kama una ujasiri unaweza kuonja kichungu kama shubiri ila sio sumu. M4C FOR UKAWA NEVER FOR MAGUFULI. MABADILIKO UKAWA UKAWA LOWASSA.
 
Wamwambie mapema Lowassa shida zao,

Diamond hana nafasi tarehe 25/10/2015 - siku hiyo ni ya box, karatasi na kalamu (Obama)
 
Kumbe Tanzania Daima! Hilo gazeti linalotumika kusafisha uchafu wa kwenye pampas?

Ni makatibu wa CCM wanao toa taarifa hizo. Gazeti limewakilisha jumbe hizo kwetu ili tujue yanayo jili nyuma ya Pazia. Jana kuna mpuuzi nilimweleza kwamba Arusha watu walisafirishwa kwa Basi na Lori akakataa na kusema ni wakati wa Arusha tu. Na mwisho nikampa na taarifa kwamba hata Gari za bwana mdogo zilikodishwa ili kusafirisha watu. Mimi/dogo hatupo Tanzania Daima.
 
kumbe tanzania daima gazeti ambalo lowasa alijinyea na ni fisadi linamsafisha kinyesi chake kwa wino.
​furaha yangu nikuwa mpowachache sana adimnatia huruma
 
Mleta uzi eden kimario ,gazeti la Mbowe, ulitegemea nini hapo!
Tazama hizi video kama huamini magazeti. Ukiyahesabu hayo malori ni zaidi ya hamsini yakiwasomba watu wajaze mkutano wa Magufuli nyumbani kwao Chato. Sasa kama mgombea wa CCM hata kwao lazima awape watu chochote ndipo wahudhurie mkutano wake, huko kwingine je? Ndio maana CCM inakomba pesa zote hazina kuhonga wasikilizaji; acheni hizo, mnaifilisi nchi...!

[video]https://youtu.be/l4KTeZaPuKM[/video]

[video]https://youtu.be/6nWC97DGnTk[/video]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…