Uso kwa uso Uganda

Hapo naona Kenyatta anafurahi rafiki, kaka yake wa siku nyingi yupo kupiganae stori mbili tatu
 
Huyu nae sijui kafata nini?Lina kiherehere! anambana ze current president kufurusika na marais wengine.
 
We ndo msemaji wa huyo kikwete???

Acha wehu
Kulikua na haja gani ya kuuliza hilo swali humu jf,kwanini usimpigie simu kumuuliza nani anamlipia,kama ulikua hutaki ujibiwe humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…