Dah weekend hii jana nilimtembelea Erotica,ikabidi tusnap,weekend ilienda bomba sana na tulibadilishana mawazo.Ila im so happy kuonana naye.....Msijiulize sana kwanini siku hizi haonekani chitchat na MMU,imebaki miezi kadhaa aanze kulea so msishangae tukija kuomba jina la mtoto humu chitchat kwa ma-great thinkers HYGEIA popote ulipo nilikusaka sana bro ila congratulesheni nyingi zikufikie,shemeji wa ukweli aisee.
Lol!Kumbe ashakuambia,nilimkuta anamumunya ubuyu bhana.....by the way hiyo camera ni Canon Power Shot
Asante ruttashobolwa. Ila hiyo hongera iweke pembeni kwanza, bado wakati wake!Hongera erotica
eeee jamani!! mimba imempenda amenenepa si kalikuwa kembambaaaa!