binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 959
Habari ya jumapili waungwana
kweli leo nimeamin milima haikutani ila binadamu hukutana....leo nilishiriki ibada mbezi beach kanisa nalihifadhi jina..wakati natoka kanisan eneo la mlangoni ili nichovye maji ya baraka nikahisi kuna mtu ananivuta nikageuka ghafla kuangalia ni enginer wa kipare ,,macho ghafla yalipoteza nuru ya kuona..nilibaki nikishangaa ...
Nikatoka nje nikiwa nae ..tukasalimiana...alichoniambia "mbona umenisusa?" nikamuuliza unasemaje? nikamwambia nahisi umekosea njia ..nikasepa akanifuata ananiambia acha zarau... kumbe binam yang alimwona wakati ananivuta .. wakati tukiwa nje kidogo ya kanisa binam yang alisogea karibu akamwambia usimpoteze muda ulishamwona hakufai leo unahangaika nae? martha twende zetu? ikumbukwe binam yang alikuwa anamfaham enginer lakin enginer alikuwa hamfaham binam yang.. tukapanda zetu mkoko tukasepa . ..