Usizungumzie ualimu kama si mwalimu tafadhari

fm radio

Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
81
Reaction score
36
naona watu ambao si walimu wanazungumzia ualimu kwa vitu wasivyovifaham vya kiualimu. kama swala la elimu bure,mimi kama mwalimu ambae pia nina kacheo fulani ni kuwa nilipeka kwa mikono yangu taarifa ya bajeti ya matumizi ya shule kwa mwaka ujao,pia nilipeleka taarifa ya madeni yote ya shule yaliyokuwa yanadaiwa.natabiri walimu mliokuwa mnapenda kupiga pesa kupitia speed test za asubuhi,remedial,test za wik na mwezi na tuition za wizi imekula kwenu.nilishatukanwa sana kwa kupinga remidial na vitest vya ajabu ajabu kuwa ni miladi ya watu kujiingizia pesa ila mungu kanisikiliza.nasema wale mliokuwa mnawaibia watoto wa masikini na kugawana elfu 50 kila siku imekula kwenu.safi kabisa serikali
 
Mkuu mwalimu turudi kwenye 'kasredi' ketu kule ukatuelimishe walimu wenzio ni kwa namna gani uliweza kujenga nyuma ndani ya miaka mitatu ya take home ya laki tano
 
sawa sawa mkuu ngoja ni upload,tuendelee kuijadili
 
naona watu ambao si walimu wanazungumzia ualimu kwa vitu wasivyovifaham vya kiualimu. kama swala la elimu bure,mimi kama mwalimu ambae pia nina kacheo fulani ni kuwa nilipeka kwa mikono yangu taarifa ya bajeti ya matumizi ya shule kwa mwaka ujao,pia nilipeleka taarifa ya madeni yote ya shule yaliyokuwa yanadaiwa.natabiri walimu mliokuwa mnapenda kupiga pesa kupitia speed test za asubuhi,remedial,test za wik na mwezi na tuition za wizi imekula kwenu.nilishatukanwa sana kwa kupinga remidial na vitest vya ajabu ajabu kuwa ni miladi ya watu kujiingizia pesa ila mungu kanisikiliza.nasema wale mliokuwa mnawaibia watoto wa masikini na kugawana elfu 50 kila siku imekula kwenu.safi kabisa serikali

Kumbe ww unakacheo ndomaana unawasema wenzako waluokua wanapiga viela vidogo ivyo coz ww ulikua unanafac ya kupiga ela nyingi, ila yote kwa yote walaka wao waluotoa sijaona kama wamefuta michango bali wamepunguza michango tu
 
naona watu ambao si walimu wanazungumzia ualimu kwa vitu wasivyovifaham vya kiualimu. kama swala la elimu bure,mimi kama mwalimu ambae pia nina kacheo fulani ni kuwa nilipeka kwa mikono yangu taarifa ya bajeti ya matumizi ya shule kwa mwaka ujao,pia nilipeleka taarifa ya madeni yote ya shule yaliyokuwa yanadaiwa.natabiri walimu mliokuwa mnapenda kupiga pesa kupitia speed test za asubuhi,remedial,test za wik na mwezi na tuition za wizi imekula kwenu.nilishatukanwa sana kwa kupinga remidial na vitest vya ajabu ajabu kuwa ni miladi ya watu kujiingizia pesa ila mungu kanisikiliza.nasema wale mliokuwa mnawaibia watoto wa masikini na kugawana elfu 50 kila siku imekula kwenu.safi kabisa serikali

Kama kweli wewe ni Mwalimu basi serikali imekula hasara mara 10 ya hao unaowasimanga hapa, kwa uandishi huo sijui unawafundisha nini watoto wetu, nina mashaka na kisomo chako, ninahisi wewe ni mgonga kokoto somewhere
 
mkuu unashangaa nini?! huyu ni mwalimu wa kiswahili. si ajabu watoto wetu kuandika, habali, mkari, axante, xaxa. MWALIMU KATISHA!!
 
Huyu mwalimu nadhani ni wa viti maalumu si wa kosomea toka chuoni.
 
Pigia kampeni ulichonacho na hayo ndiyo makontena yenu..Wewe badala ya kujipigia kampeni ya kuongezwa mshaara unajikandamiza..ndii maana niliachana na ualimu kwani Tanzanian teachers are hypocricy, not compitent, gossipers Wanamipasho tu!
WAAMBIE WAGOME ILIWAPATE HAKI ZAO UTASIKII WAKITISHIWA TU KUKAGULIWA VYETI UTASIKIA WAMEPOTEZANA..
UWALIMU WA "VITI MAALUMU"
 
Huyu mwalimu nadhani ni wa viti maalumu si wa kosomea toka chuoni.
Wewe jamaa wewe, ole wako ungekuwa karibu kitimoto mzima na safari 5 za bardiiiiiii zingekuhusu bili kwangu, umenifanya nimepaliwa kwa kicheko.
 
Back
Top Bottom