Mkuu, we unadhani mwanamke hana mume yupo tu unamtindua miaka inaenda abaki Bila kufikiria kuwa na mtoto!?Ukweli upo mkuu,binafsi katika mahusiano ya nje huwa napenda kuwa muwazi..sitaki watoto,bali tubadilishane mawazo tu sababu watoto ninao wananitosha.Kwa sababu malezi ya watoto yanahitaji baba na mama katika kuwajenga kiimani,kiuchumi,kielimu na kiafya n.k
Uko sahihi mkuu,ndio changamoto tunazokutana nazo hata wao pia huwa wanapenda haijalishi una familia au hapana,wakati mwingine ndio maana wengine wanakimbilia kwa single M.Mkuu, we unadhani mwanamke hana mume yupo tu unamtindua miaka inaenda abaki Bila kufikiria kuwa na mtoto!?
Kama unaogopa kuzaa watoto na mwanamke zaidi ya mmoja uwe unanunua makahaba.
Ambao kwake kupata mimba Ni sawa na mboga kuchacha.
Lakini mdada yupo, hajiuzi unamlamba tu miaka nenda Rudi!!
Aafu Hawa ndugu zetu akishaona analala anakula na Mambo mengine anapata kinachofuata kwake Ni mtoto.
Kwa hiyo wanaume tunapaswa kujipanga.!!
Ukichepuka tegemea siku moja kuambiwa Kuna mimba tusizopenda kuzisikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu sana kwa mke wa jamaa kufanya hivyo , maana ashajenga hisia za mumewe kumcheat na mpangaji mwenza.Next time she knocks your door let your wife accompany her. Case closed.
Sent using my Nokia Torch
Mwanmke ukimpiga mashine nzito, unampa hela ya kumtimizia mahitaji yako atamheshimu hata mkeo.Uko sahihi mkuu,ndio changamoto tunazokutana nazo hata wao pia huwa wanapenda haijalishi una familia au hapana,wakati mwingine ndio maana wengine wanakimbilia kwa single M.
Uko sahihi,kila mwanamke anapenda kuitwa mama...ukiona anayekataa ujue ana matatizo.Mwanmke ukimpiga mashine nzito, unampa hela ya kumtimizia mahitaji yako atamheshimu hata mkeo.
Maana anachokitaka anapata, shida ya Nini!?
Ndio hapo anaamua kuzaa na wewe hata Kama Ni mume wa mtu.
Huwa haitokei kwa bahati mbaya.!
Ni planned kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app