nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
Wadau sababu zilizonifanya kuleta uzi huu ni kero ambazo nimekua nikipata kutoka kwa mpangaji mwezangu aliyezaa na mme wa mtu..mara nyingi hasa usiku mtoto huzidiwa hivyo nalazimika kuchukua nafasi ya baba wa mtoto kumkimbiza mtoto hospital ...huwa namwacha mke wangu kitandani....huyu dada kwa wakati huo huwa kama amechanganyikiwa hivi maana akimpigia baba wa mtoto (mume wa mtu)huwa hapokei simu na akipokea husema hawezi kutoka usiku huo anamwogopa mke wake...hali hii imetokea kama Mara 4 ivi na kama ujuavyo wanawake hawapendani basi nikirudi namkuta mke wangu kanuna anaanza kunishambulia kwa maneno machafu kuwa Nina uhusiano na huyu dada....chonde chonde dada zangu msizae na waume za watu mtateseka sana.
troublemaker 2019. all right received.