Usiyoyajua kuhusu ubongo

ila kuna ngombe kule makete zinawachunga wakinga
 
Ninachofahamu ni kwamba Ubongo ni "Urojo fulani" au ni kitu kama tope hv ulio ndani ya fuvu la kichwa cha kiumbe chochote e.g. ng'ombe, binadamu, panzi, nyoka etc etc etc kilichosheheni mishipa na vijishipa vingi vya Fahamu(nerve cells). Sasa ubongo unafanyaje kazi ; hiyo ni issue ya mazoezi - kuufanyisha mazoezi huo ubongo hadi uwe kama unavyotaka. Ni lazima awepo "aliyetangulia" kuerevuka na huyo ndo ataushape ubongo mchanga/mpya e.g. Ubongo wa mtoto mdogo unasemwa ni"Mtupu" Tabula rasa. Wewe baba au mama na Jamii yote kwa ujumla ndo mnaoufanya uwe na hulka fulani.yan mtoto huyo ubongo wake unalelewa mithili ya memory card. i.e.Unaweka/Mnaweka nini humo kwenye memory card? Wahenga walisema Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Huo msemo unakitu kikubwa cha kujifunza. Kuna utofauti kati ubongo wa mtu mmoja na ubongo wa mtu mwingine. Hoja ya wepesi wa kupokea. Swali : Je, ubongo (cf memory card) ukiingia virusi (corrupted) itakuwaje?πŸ˜€πŸ˜€
 
Ngoja nikuache na hii:-
JE WAJUA ubongo ndio kiungo pekee katika mwili wa binadamu kilichojipa jina lenyewe. Yaani mkono unaitwa mkono kwasababu ubongo uliamua huo mkono uitwe hivyo mkono. Lakini ubongo kuitwa ubongo, ni ubongo
πŸ€”πŸ€”
 
Kinachonishangaza ni Ubongo kukumbuka kwamba umesahau kitu lakini unashindwa kukumbuka ni kitu gani ulichosahau......
 
Kinachonishangaza ni Ubongo kukumbuka kwamba umesahau kitu lakini unashindwa kukumbuka ni kitu gani ulichosahau......
Ubongo unamambo ya ajabu utakuwa Kuna programs zilipataga mushkeri ukitaka kujua hayo jifatilie hata wewe Kuna Mambo ya ajabu unayafanya mpk ubongo wako mwenyewe unashangaa..
 
Asante kwa kuongelea ubongo kama hardware sasa operation system ya ubongo ndo kiboko.

Watalaamu wanasema operation system ina codiwa ubongoni tokea kichanga hadi miaka nane. Hapo tabia zote zinakuwa tayari zimeshasetiwa. Hii master programu inacodiwa kutokana na mazingira yanayomzunguka mtoto, watu wanaishije, wanaongeaje, wanavaaje, nk

Ule msemo waswahili wanasema samaki mkunje angali mdogo haupo sawa, kwani endapo mzazi atakuwa mkali kupitiliza akiamini ndio anaandika programu ya utiifu na adabu atakuja shangaa mtoto anakuwa tofauti kwani kwa kufanya hivyo mtoto anaweza andika programu ya kutokujiamini, kuwa na wasi wasi.
 
😲😲😲 AiseehπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kama ndani ya ubongo taarifa zinasafiri mithili ya umeme,kwa wale tulosoma physics kidogo basi ndani ya ubongo patakuwa na circuit ya umeme na ndani ya circuit kuna parallel circuit na series circuit ambapo zinatoa mwanga(elimu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…