Usiwe dhaifu, songa kibabe

Mapenz n matam wote
Mpendane kwa dhat
Ule upendo wa moyon kitu
Really aiseee mtainjoy sana

Ukiambiwa kuna,sku shetan
Atapta mbele yenu hutakubali
Yan
 
Ukikataliwa move on ni jambo zuri sana
Una ya treat mapenzi kama gwaride hakuna kurudi nyuma ni kusonga mbele iwe kwa mwendo wa taratibu au mwendo wa haraka
Sasa kamanda ( mungu) akisema nyumaaaaaa geuka,
Si unarudi ulikotoka.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Kwenye mapenzi principal nzuri ni hii


Usijiweke uko peke yako, jua kuna mwingine fanya mambo kwa kushindana umshinde
Tatizo wengi wakioa au kuolewa wanadhani mech imeisha

Jua mech bado endelea kushindana mpaka kifo
 
Leo umeamua,thread km ya 3 iyo zenye kuhusiana,yapi yamekikuta? kuwa mubashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…