Usiwe dhaifu, songa kibabe

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,267
Usimlazimishe Kipofu kucheza drafti..
Kama amesema hakupendi tena na hamna future
pamoja using'ang'anie na kulia machozi.
Angalau
amekuwa mkweli kwa nafsi yake kwamba kwenye
Future plans zake wewe sio Shareholder, shukuru
Mungu kwa kutoswa maana huwezi jua huo Mtoso utakufungulia neema gani.
Kuna watu mnajifungia
kupata Future Husbands/Wives kwa kung'ang'ania
kudate na Matoroli wakati kuna Ferrari
zinawasubiri nje!
Na ukitoswa usisusie mapenzi, mapenzi
hayasusiwi, shukuru halafu acha mlango wako wazi mtu mwingine ajaribu Ku-Format previous
Files zenye Virus na Ku-Install New love in your
Heart... Tumia machozi yako when necessary, sio
unalialia tu kama Landrover ya Jeshi, kuna watu
mnawalilia hawana hata hadhi hiyo maana hata
kwenu hawajikuwajua wanafanana rangi gani! Moving on ndo mpango mzima, kujikwaa imo
bwana!
 
Sio unalialia tu kama landrover la jeshi Uchochezi.
 
Kama akiuvunja moyo wako vipandevipande, achana nae,
Na akitokea mwingine akakupenda basi mpende kwa vipande vyote vilivyobaki.....
 
Unajimuvuzisha mapema ukishaona mtu anaku ignore
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…